Ufafanuzi wa bembeleza katika Kiswahili

bembeleza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    tuliza au poza mtu ili kurudia katika hali yake ya kawaida.

    ongoa

  • 2

    omba mtu kwa maneno matamu ili upate haja yako.

    nasihi, sihi, sairi, rai

Matamshi

bembeleza

/bɛmbɛlɛza/