Ufafanuzi wa bendeji katika Kiswahili

bendeji

nominoPlural bendeji

  • 1

    kitambaa, agh. cheupe, kinachotumiwa kufungia jeraha, donda au mahali palipoumia.

Asili

Kng

Matamshi

bendeji

/bɛndɛʄi/