Ufafanuzi wa bendera katika Kiswahili

bendera

nominoPlural bendera

 • 1

  kitambaa chenye rangi au alama inayowakilisha nchi, shirika au chama fulani.

  ‘Pandisha bendera’
  ‘Tweka bendera’
  ‘Shusha bendera’
  beramu

Asili

Kre

Matamshi

bendera

/bɛndɛra/