Ufafanuzi msingi wa bendi katika Kiswahili

: bendi1bendi2

bendi1

nominoPlural bendi

 • 1

  kipimo cha mawimbi ya redio.

Asili

Kng

Matamshi

bendi

/bɛndi/

Ufafanuzi msingi wa bendi katika Kiswahili

: bendi1bendi2

bendi2 , beni

nominoPlural bendi

 • 1

  kikundi cha wanamuziki wanaotumia ala za kisasa.

  ‘Bendi ya polisi’

 • 2

  ngoma inayopigwa barabarani na inayochezwa na huku wachezaji wakienda.

Asili

Kng

Matamshi

bendi

/bɛndi/