Ufafanuzi wa benua katika Kiswahili

benua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kitokeze.

    ‘Benua kifua’

Matamshi

benua

/bɛnuwa/