Ufafanuzi msingi wa bera katika Kiswahili

: bera1bera2

bera1

nominoPlural bera

  • 1

    sanduku dogo la karatasi linalotumika kuwekea sigara, vibiriti au vitu vidogovidogo.

Matamshi

bera

/bɛra/

Ufafanuzi msingi wa bera katika Kiswahili

: bera1bera2

bera2

kitenzi elekezi

Matamshi

bera

/bɛra/