Ufafanuzi wa beriberi katika Kiswahili

beriberi

nominoPlural beriberi

  • 1

    ugonjwa unaowapata watoto kutokana na upungufu au ukosefu wa vitamini B mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

beriberi

/bɛribɛri/