Ufafanuzi wa beringi katika Kiswahili

beringi

nominoPlural beringi

  • 1

    kifaa chenye gololi ambacho hufungwa kwenye mitambo ili kuwezesha sehemu zake kuzunguka kwa urahisi kwa msuguano mdogo.

Asili

Kng

Matamshi

beringi

/bɛringi/