Ufafanuzi wa besera katika Kiswahili

besera

nominoPlural besera

  • 1

    fito au viunzi vya kitanda vinavyotundikiwa chandarua.

Asili

Khi

Matamshi

besera

/bɛsɛra/