Ufafanuzi wa besi katika Kiswahili

besi

nominoPlural besi

  • 1

    mapigo mazito ya noti yanayodhihirishwa katika wimbo au ala ya muziki.

    ‘Sauti ya besi’
    ‘Gita la besi’

Asili

Kng

Matamshi

besi

/bɛsi/