Ufafanuzi msingi wa beti katika Kiswahili

: beti1beti2beti3

beti1

nominoPlural beti, Plural mabeti

 • 1

  mkoba wa ngozi unaotumiwa sana na askari.

Ufafanuzi msingi wa beti katika Kiswahili

: beti1beti2beti3

beti2

nominoPlural beti, Plural mabeti

 • 1

  bao au gongo la kriketi.

Ufafanuzi msingi wa beti katika Kiswahili

: beti1beti2beti3

beti3

nominoPlural beti, Plural mabeti

 • 1

  wingi wa ubeti.

  ubeti

Asili

Kar

Matamshi

beti

/bɛti/