Ufafanuzi wa betili katika Kiswahili

betili

nominoPlural betili

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    jahazi la milingoti miwili lililotofautiana kidogo na bedeni.

Asili

Kar

Matamshi

betili

/bɛtili/