Ufafanuzi wa betri katika Kiswahili

betri

nominoPlural betri

  • 1

    chombo cha kutolea nguvu ya umeme.

  • 2

    mawe ya tochi au redio.

Asili

Kng

Matamshi

betri

/bɛtri/