Ufafanuzi wa bi katika Kiswahili

bi

nomino

  • 1

    (kifupi cha bibi) neno linalotumika kabla ya kutaja jina la mwanamke.

    ‘Bi Asha’
    binti, bibi