Ufafanuzi msingi wa bia katika Kiswahili

: bia1bia2

bia1

kielezi

 • 1

  kwa ushirikiano, biashara, n.k..

  ‘Changa bia’
  ‘Kula bia’
  ‘Gawa bia’

Asili

Kar

Matamshi

bia

/bija/

Ufafanuzi msingi wa bia katika Kiswahili

: bia1bia2

bia2

nominoPlural bia

 • 1

  pombe ambayo inatengenezwa kwa kimea cha shayiri.

Asili

Kng

Matamshi

bia

/bija/