Ufafanuzi wa biganya katika Kiswahili

biganya

kitenzi elekezi

  • 1

    kusanya pamoja.

    konganya, changanya, huluti

Matamshi

biganya

/bigaɲa/