Ufafanuzi wa bighairi ya katika Kiswahili

bighairi ya, minghairi ya

kielezi

  • 1

    bila ya kujali.

    bila, pasipo

  • 2

    mbali ya.

Asili

Kar

Matamshi

bighairi ya

/biɚajiri ja/