Ufafanuzi wa bihi katika Kiswahili

bihi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    samehe deni.

  • 2

    samehe mahari ili kupata talaka.

    burai, feleti

Asili

Kar

Matamshi

bihi

/bihi/