Ufafanuzi wa bikizee katika Kiswahili

bikizee

nomino

  • 1

    mwanamke mzee.

    ajuza

Matamshi

bikizee

/bikizÉ›:/