Ufafanuzi msingi wa bila katika Kiswahili

: bila1bila2

bila1

kiunganishi

 • 1

  pasi na.

  ‘Amenipiga bila ya sababu’
  bighairi ya, pasipo

Asili

Kar

Matamshi

bila

/bila/

Ufafanuzi msingi wa bila katika Kiswahili

: bila1bila2

bila2

nominoPlural bila

 • 1

  (katika mchezo)

  ‘Wamefungwa mabao mawili kwa bila’

Asili

Kar

Matamshi

bila

/bila/