Ufafanuzi wa bilashi katika Kiswahili

bilashi

kielezi

  • 1

    pasipo sababu; pasipo faida.

Matamshi

bilashi

/bila∫i/