Ufafanuzi wa biliadi katika Kiswahili

biliadi

nominoPlural biliadi

  • 1

    aina ya mchezo unaochezwa kwa kugonganisha mipira midogo kwenye meza maalumu.

    puli

Asili

Kng

Matamshi

biliadi

/biliadi/