Ufafanuzi wa bimbashi katika Kiswahili

bimbashi

nominoPlural ma

  • 1

    ofisa wa jeshi la ulinzi anayemfuata luteni usu hususan kwa cheo.

Asili

Ktu

Matamshi

bimbashi

/bimba∫i/