Ufafanuzi wa binamu katika Kiswahili

binamu

nominoPlural binamu

  • 1

    mtoto wa ami.

  • 2

    mtoto wa mjomba au shangazi.

Asili

Kar

Matamshi

binamu

/binamu/