Ufafanuzi wa bindo katika Kiswahili

bindo

nominoPlural mabindo

  • 1

    sehemu ya nguo kama shuka au kikoi inayoviringishwa kiunoni au tumboni ambayo pengine huhifadhia vitu k.v. pesa.

    ‘Kinga bindo’

Matamshi

bindo

/bindɔ/