Ufafanuzi wa bingirisha katika Kiswahili

bingirisha, vingirisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya kitu kiende kwa kuzungukazunguka.

Matamshi

bingirisha

/bingiri∫a/