Ufafanuzi wa bingwa katika Kiswahili

bingwa

nominoPlural mabingwa

 • 1

  mtu mwenye ujuzi wa jambo au elimu fulani.

  mweledi

 • 2

  hodari.

  ‘Bingwa wa Kiswahili’
  farisi, fundi, galacha, hodari, stadi

 • 3

  mshindi

Matamshi

bingwa

/bingwa/