Ufafanuzi wa bini katika Kiswahili

bini

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    iga mwandiko au saini ya mtu kwa lengo la kudanganya ili upate kitu, fedha au bidhaa za mtu mwingine.

  • 2

    ghushi

Matamshi

bini

/bini/