Ufafanuzi wa binti katika Kiswahili

binti, biti

nominoPlural mabinti

  • 1

    mtoto wa kike wa.

    ‘Asha binti Ali’

  • 2

    msichana, bi, gashi, banati

  • 3

Asili

Kar

Matamshi

binti

/binti/