Ufafanuzi wa bioanuwai katika Kiswahili

bioanuwai

nominoPlural bioanuwai

  • 1

    mchanganyiko wa viumbe hai katika mfumo wa ekolojia.

Asili

Kng

Matamshi

bioanuwai

/bijɔanuwaji/