Ufafanuzi wa bipu katika Kiswahili

bipu

kitenzi elekezi

  • 1

    pigia mtu simu na kukata kabla hajawahi kupokea.

Asili

Kng

Matamshi

bipu

/bipu/