Ufafanuzi wa biri katika Kiswahili

biri

nominoPlural biri

  • 1

    jani la aina ya tumbaku linalotumiwa kusokotea sigara.

  • 2

    aina ya sigara.

Asili

Khi

Matamshi

biri

/biri/