Ufafanuzi wa biri! katika Kiswahili

biri!

kiingizi

  • 1

    neno litumikalo kumpa mtu changamoto kuwa hawezi kufanya jambo fulani na kama anaweza na ajaribu.

Matamshi

biri!

/biri/