Ufafanuzi wa biriani katika Kiswahili

biriani

nomino

  • 1

    wali uliokaangwa na kuchanganywa na nyama iliyokaangwa na masala.

Asili

Kaj

Matamshi

biriani

/birijani/