Ufafanuzi msingi wa birigiji katika Kiswahili

: birigiji1birigiji2

birigiji1

nomino

  • 1

    aina ya nguo iliyo na rangi ya manjano iliyochujuka.

Matamshi

birigiji

/birigiʄi/

Ufafanuzi msingi wa birigiji katika Kiswahili

: birigiji1birigiji2

birigiji2

nomino

  • 1

    rangi ya manjano iliyochujuka.

Matamshi

birigiji

/birigiʄi/