Ufafanuzi wa biringani katika Kiswahili

biringani, biringanya

nominoPlural mabiringani

  • 1

    mboga jamii ya nyanya mshumaa yenye umbo kama la mung’unye na rangi ya zambarau.

Asili

Kar

Matamshi

biringani

/biringani/