kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa
- 1
gonga mlango ili ufunguliwe; piga hodi.
- 2
pinga unaloambiwa.
babaka, kaidi, jadili - 3
fanya ushindani.
shindana
kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa
Kibaharia- 1
Kibaharia
elekeza tanga unakokwenda upepo.‘Bisha tanga’ - 2
Kibaharia
geuza chombo kipate upepo.