Ufafanuzi wa Bismillahi! katika Kiswahili

Bismillahi!

kiingizi

Kidini
  • 1

    Kidini
    (husemwa kabla ya kufanya jambo lolote jema au mwanzo wa jambo) kwa jina la Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

Bismillahi!

/bismillahi/