Ufafanuzi wa bitana katika Kiswahili

bitana

nominoPlural bitana

  • 1

    nguo laini kama hariri inayoshonewa ndani ya vazi, agh. koti au suruali.

Asili

Kar

Matamshi

bitana

/bitana/