Ufafanuzi wa blanketi katika Kiswahili

blanketi, blangeti

nominoPlural mablanketi

  • 1

    guo zito, agh. la pamba au sufu, la kujifunikia ili kujikinga dhidi ya baridi.

Asili

Kng

Matamshi

blanketi

/blankɛti/