Ufafanuzi wa blauzi katika Kiswahili

blauzi

nominoPlural blauzi

  • 1

    nguo ya kike inayofanana na shati.

Asili

Kng

Matamshi

blauzi

/blauzi/