Ufafanuzi wa blenda katika Kiswahili

blenda

nominoPlural blenda

  • 1

    mashine ya umeme ya kusagia au kuchanganyia pamoja vitu k.v. mayai, mboga au matunda na viowevu k.v. maziwa au maji ili kupata juisi au chakula laini.

Asili

Kng

Matamshi

blenda

/blɛnda/