Ufafanuzi wa bloku katika Kiswahili

bloku

nominoPlural bloku

  • 1

    pande kubwa k.v. la mti, jiwe, n.k. agh. lenye umbo mraba ama bapa kila upande.

  • 2

    jengo kubwa la ghorofa lenye mgawanyiko wa nyumba, maduka, ofisi, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

bloku

/blɔku/