Ufafanuzi wa bobari katika Kiswahili

bobari

nominoPlural bobari

  • 1

    chombo kama patasi atumiacho seremala kuchongea ubao.

    ngabu, sokondo

Matamshi

bobari

/bɔbari/