Ufafanuzi wa bobea katika Kiswahili

bobea

kitenzi elekezi~lea, ~ka, ~sha, ~wa

 • 1

  jishughulisha na jambo fulani kupita kiasi.

  ‘Juma amebobea katika ulevi siku hizi’
  topea, tabahari

 • 2

  jifunza jambo na kulifahamu barabara.

  ‘Ali amebobea sana katika sheria’
  chepua

Matamshi

bobea

/bɔbɛja/