Ufafanuzi wa boboka katika Kiswahili

boboka

kitenzi elekezi

  • 1

    toa maneno mengi ovyo.

    ropoka, bwata, bwabwaja, payuka

Matamshi

boboka

/bɔbɔka/