Ufafanuzi wa bohari katika Kiswahili

bohari

nomino

  • 1

    jumba la kuwekea bidhaa.

    ghala, behewa

Asili

Kar

Matamshi

bohari

/bɔhari/