Ufafanuzi msingi wa bokoa katika Kiswahili

: bokoa1bokoa2

bokoa1

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha, ~lesha, ~za

  • 1

    tokezea upande wa pili.

  • 2

    ingia, penya

Matamshi

bokoa

/bɔkɔwa/

Ufafanuzi msingi wa bokoa katika Kiswahili

: bokoa1bokoa2

bokoa2

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha, ~lesha, ~za

  • 1

    pata mavuno kwa wingi.

Matamshi

bokoa

/bɔkɔwa/