Ufafanuzi wa bokora katika Kiswahili

bokora

kitenzi elekezi

  • 1

    nyang’anya mkononi kwa ghafla.

    bwakura, pora

Matamshi

bokora

/bɔkɔra/