Ufafanuzi wa boma katika Kiswahili

boma

nominoPlural maboma

 • 1

  jengo la duara lisilokuwa na paa.

  faja

 • 2

  ngome iliyozungushiwa kuta.

  husuni, gereza, ngome, sera, buruji

 • 3

  mkusanyiko wa nyumba kadhaa za familia moja.

Asili

Kaj

Matamshi

boma

/bɔma/